Breaking News

Bei ya mchele yapaa soko la Mwananyamala

Bei ya mchele katika soko la vyakula la mwananyamala jijini dsm imepanda kutoka shilingi 1500 kwa kilo mpaka shilingi 2000 na 2500 kwa mchele ambao ni daraja la kwanza kutokana na wafanyabiashara kutozwa ushuru mara mbili



Akizungumza  ofisini kwake Mwenyekiti wa soko hilo HAMISI MARANDE amesema magari ya wafanyabiashara yamekuwa akitozwa ushuru mara mbili na manispaa ya kinondoni  jambo ambalo linawalazimu kufidia ushuru huo kwa kuongeza bei ya mchele kwa walaji

No comments