Chanzo cha maandamano hayo ni kupinga mauaji yaliyofanywa na wanaume wawili kwa msichana anayejulikana kama Lucia Perez mwenye miaka 16 baada ya kumteka kisha kumbaka na kumlazimisha kutumia madawa ya kulevya aina ya cocaine,katika maandamano hayo ambayo yanajumuisha watoto wa shule na wanawake
No comments