Breaking News

Goal line technology yamnyima goli Javier Hernandez"chicharito"

Ni kipa namba moja wa ufaransa Hugo Lloris akiwa ni shujaa baada ya kuokoa mchomo wa chicharito ambao ulionekana kuvuka mstari wa goli lakini goal line technology ikaondoa utata na kusababisha timu hizo kumaliza kwa suluhu ya bilabial

No comments