Ni rahisi sana kumpandisha ngombe juu kwa kutumia ngazi lakini hali ni tofauti wakati wa kushuka hii inatokana na tabia ya uoga wa ngombe hivyo inakua ngumu sana kumshusha ngombe kutokea juu kwenda chini kutumia ngazi kutokana na kuhofia urefu wa kwenda chini
Je wajua ni rahisi kumpandisha ngombe juu kuliko kumshusha chini kwa kutumia ngazi
Reviewed by mkali
on
01:30:00
Rating: 5
No comments