NEC yahitaji ushirikiano kutoka kwa wapiga kura
Mwenyekiti wa NEC Jaji Mstaafu DAMIAN LUBUVA ametoa wito kwa wananchi kuendelea kutoa ushirikiano wao kwa NEC ili kufanikisha mkakati huo.
Kwa upande wake Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume Ya Taifa Ya Uchaguzi KAILIMA RAMADHANI ametoa wito kwa wananchi ili Kuhakikisha Elimu Ya Mpiga Kura Inamfikia Mlengwa.
Mkakati Wa Kutoa Elimu Ya Mpiga Kura Ni Utekelezaji Wa Sheria Ya Uchaguzi Ya Mwaka 1985 inayoitaka Tume Ya Taifa Ya Uchaguzi kutoa elimu Hiyo, Kusimamia Na Kuratibu Asasi Na Taasisi Zinazotaka Kutoa Elimu Ya Mpiga Kura

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi –NEC Jaji mstaafu DAMIAN LUBUVA
No comments