Breaking News

Jamaa agombewa na wanawake

jamaa mmoja alipiga simu ya dharura wakati wanawake wawili wakipigana ili kuwania penzi lake na  mazungumzo yalikuwa hivi
Jamaa;hallo..... huduma ya dharura
Dharura;Tukusaidie nini tafadhali?
Jamaa;wanawake wawili wanapigana sasa yule mwenye sura mbaya anaelekea kushinda..nlikua nahitaji msaada

No comments