Mume alikuwa akiangalia video
Mume alikuwa akiangalia video huku akiongea mwenyewe huku akilalamika"wewe jamaa usiseme ndio nimekubali ..utakuja kujutia maisha yako yote shauri lako"
MKE;Mume wangu unaangalia nini?
MUME;Naangalia mkanda wetu wa harusi ndo namwambia bwana harusi asiseme ndio nimekubali atakuja kujutia maisha yake yote

MKE;Mume wangu unaangalia nini?
MUME;Naangalia mkanda wetu wa harusi ndo namwambia bwana harusi asiseme ndio nimekubali atakuja kujutia maisha yake yote
No comments