Breaking News

Headphone noma

jamaa mmoja aliyekuwa mgahawani  alikuwa akisikiliza muziki kwa kutumia headphone kwa sauti ya juu ,ushuzi ukambana naye akajamba kwa sauti kubwa akidhani kuwa hasikiki kutokana na sauti kubwa aliyokua akiisikia katika earphones alipoinua macho yake akakuta watu wote mgahawani wanamuangalia yeye,,,,alipogundua aliondoka bila kuaga

No comments