Breaking News

Messi apiga hatrick barcelona wakiiua city 4-0

Mchezaji Bora huyo wa dunia mara tano alianza kuiandikia timu yake goli la kwanza mapema katika dakika ya 17 kabla ya kuandika mengine mawili katika dakika ya 61 na 69 kisha Neymar kuhitimisha kwa goli la nne  alilofunga  dakika ya 89 baada ya kukosa penati dakika ya 87
 Pia katika mchezo huo kulioneshwa kadi mbili nyekundu Moja kwa golikipa wa city Claudio Bravo baada ya kudaka mpira nje ya eneo lake pamoja na beki wa Barcelona Mathieu baada ya kupata kadi za njano mbili


No comments