Watu 20 wafariki dunia baada ya hospitali kuungua moto INDIA
Zaidi ya watu 20 wamekufa na wengine zaidi ya MIA MOJA kujeruhiwa nchini INDIA baada ya jengo la hospitali kushika moto Mashariki mwa nchi hiyo
Mashuhuda wanasema moto huo kwenye vyumba vya wagonjwa mahututi katika hospitali hiyo ya jimbo la ODISHA.

No comments