Mtangazaji aliyemuhoji Donald Trump afukuzwa kazi
Mtangazaji huyo BILLY BUSH alimhoji mgombea urais wa chama cha REPUBLICAN miaka KUMI iliyopita alipotoa matamshi ya udhalilishaji wa wanawake.
Kanda hiyo ya mahojiano hayo yaliyofanyika mwaka 2005 umefichuliwa na gazeti la WASHINGTON POST.
Baada ya kufichuliwa kwa kanda hiyo viongozi wengi wakuu wa chama cha REPUBLICAN walijitenga na TRUMP na kuzua utata.
BILLY BUSH mwenye umri wa miaka 45 ambaye ni mpwa wa rais wa zamani GEORGE H W BUSH awali alikuwa amesimamishwa kazi baada ya kufichuliwa kwa video hiyo.
Wakati huo huo Mke wa mgombea urais wa chama cha REPUBLICAN DONALD TRUMP, MELANIA, amesema wanawake wanaomtuhumu mumewe kwa kuwadhalilisha ni waongo na kusema mumewe wake ni mtu mstaarabu.
Ameeleza kuwa matamshi aliyoyatoa mume wake katika kanda ya video ya mwaka 2005 kuhusu wanawake hayaonyeshi kutamkwa na mwanaume ambaye yeye amemfahamu
Picha ya mtangazaji Billy Bush
.

No comments