Breaking News

Mafundi sofa bei zenu zinakera

Mafundi wa sofa maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam wameingia lawamani baada ya kuchaji fedha nyingi pindi unapoenda kuhitaji kutengenezewa sofa, akiongea na bongofy Anorld Chikunde amezungumza hayo

No comments