Uganda yapangwa kundi la kifo AFCON
Timu ya soka ya taifa ya Uganda "THE CRANES" yajikuta ikidondokea mdomoni kwa mamba baada ya kupangwa kundi la kifo linalojumuisha timu za Misri,Mali na Ghana.ikumbukwe Uganda ni timu pekee inayowakilisha ukanda wa Afrika mashariki

No comments