Wahudumu wa mwendokasi watakiwa kutoa chenji kamili
kumekuwa na malalamiko mbalimbali juu ya wafanyakazi wa DART juu ya kutorudisha chenji kamili baada ya kupewa hela inayozidi nauli tajwa ya Tshs 650/= kwa mfano hudai hawana Tshs 50/= pindi unapotoa 700/= na wakati ukitoa 600/= ukiwa hauna 50/= wanakukatalia kupanda magari

No comments